Trolls Holiday,Kwa Wapenzi Wa Animation Usikose Hii#DOWNLOAD - teknomovies
Trolls Holiday,Kwa Wapenzi Wa Animation Usikose Hii#DOWNLOAD

Trolls Holiday,Kwa Wapenzi Wa Animation Usikose Hii#DOWNLOAD

Share This
Kwa wanaopenda Animation,Nazani watakuwa wanakumbuka Filamu ya Trolls ambayo iliachiwa mwaka 2016,Ambapo kwa safari hii tena wametuletea Trolls ya pili ambayo imepewa jina la Trolls Holiday.
Hii Filamu ukicheki Ratiba inaonesha ilitakiwa kuachiwa Novemba 24 mwaka Huu Lakini ni kama wahuni wameichakua na tayari imeanza kupatikana Mtandaoni.

Waliosababisha Trolls ya Kwanza pia wamerudi katika mchongo huu kama Justin Timberlake,Anna Kendrick na wengine ambao walihusika Katika Mchongo wa Kwanza pia wamerudi katika Mchongo Huu mpya.

Bonyeza hapa chini Kitufe cha Download,Kuweza Kuishusha Yote.
http://dl5.film2movie.co/film/Tro.lls.Holi.day.2017.720p.wb-dl.Mkv.Cage.Film2Movie_CO.mkv


No comments:

Post a Comment

Pages