Chris Brown-HeartBreak On A Full Moon Pita Nayo Hapa#Pakua - teknomovies
Chris Brown-HeartBreak On A Full Moon Pita Nayo Hapa#Pakua

Chris Brown-HeartBreak On A Full Moon Pita Nayo Hapa#Pakua

Share This

Inakuwa ni Albamu ya 8 kuachiwa tangu kuanza Muziki wake,Mwanamuziki nguli kutoka Marekani Chris Brown ambapo rasmi katika mfumo wa kimtandao Albamu imeachiwa  Oktoba 31 mwaka huu,na kwa upande wa Cd itaanza kuuzwa Novemba 03 ambayo itakuwa ni kesho kutwa Tu hapo.

Baada ya kuachiwa kwa Albamu yake ya 7 mwaka 2015,Breezy alitangaza juu ya ujio wa Albamu mpya ambayo tangu mwaka 2015 mpaka sasa alikuwa akiifanyia kazi.

Kazi Zilizotangulia kufungulia Albamu hiyo ni kama,Grass Ain’t Greener,Privacy,Questions,High End,Party na Pill&Automobiles ambazo pia zipo ndani ya Albamu.

Albamu nzima ipo katika mfumo wa Diski mbili ambapo Diski ya Kwanza ina nyimbo 22 na pili ina nyimbo 18 lakini katika mfumo wa Digitali utazipata zingine tano zaidi na hivyo kukamilisha nyimbo kuwa 45.

Breezy mwenyewe anasema kuwa albamu hii,katoa kile ambacho alikuwa akitamani kukitoa tangu muda katika Roho yake,na ndio sababu inayomfanya kuamua kudondosha full mawe yote ili watu wasikie anachotaka kusema.

Track List.

1. “Lost & Found”
2. “Privacy”
3. “Juicy Booty” Feat. Jhené Aiko and R. Kelly
4. “Questions”
5. “Heartbreak on a Full Moon”
6. “Roses”
7. “Confidence”
8. “Rock Your Body”
9. “Tempo”
10. “Handle It” Feat. DeJ Loaf and Lil Yachty
11. “Sip”
12. “Everybody Knows”
13. “To My Bed”
14. “Hope You Do”
15. “This Ain’t”
16. “Pull Up”
17. “Party” Feat. Usher and Gucci Mane
18. “Sensei” Feat. A1
19. “Summer Breeze”
20. “No Exit”
21. “Pills & Automobiles” Feat. Yo Gotti, A Boogie Wit Da Hoodie and Kodak Black
22. “Hurt the Same”
23. “I Love Her”
24. “You Like”
25. “Nowhere”
26. “Other Ni**as”
27. “Tough Love”
28. “Paradise”
29. “Covered in You”
30. “Even”
31. “High End” Feat. Future and Young Thug
32. “On Me”
33. “Tell Me What to Do”
34. “Frustrated”
35. “Enemy”
36. “If You’re Down”
37. “Bite My Tongue”
38. “Run Away”
39. “This Way”
40. “Yellow Tape”
41. “Reddi Whip”
42. “Hangover”
43. “Emotion”
44. “Only 4 Me” Feat. Ty Dolla $ign and Verse Simmonds
45. “Grass Ain’t Greener”


Kuweza Kupakua mchongo Huu bonyeza HAPA 

Pages