JAY Z KUPEWA TUZO YA HESHIMA YA GRAMMY 2018 - teknomovies
JAY Z KUPEWA TUZO YA HESHIMA YA GRAMMY 2018

JAY Z KUPEWA TUZO YA HESHIMA YA GRAMMY 2018

Share This
Washiriki wa Tuzo za Grammy kwa mwaka 2018 bado hawajatangazwa lakini imethibitishwa kuwa rapa kutoka Brooklyn Jay Z atapewa tuzo ya heshima kwa kuthamini mchango wake kwenye game ya muziki hasa kwenye Hip Hop na tuzo hiyo inajulikana kwa jina la Salute to Industry Icons Award.


Grammy wameamua kutoa tuzo hiyo kwa kuthamini mchango wa msanii huyo kwenye muziki

SOMA PIA : CHRIS BROWN ASUSIA INTERVIEW BAADA YA MTANGAZAJI KUMTOLEA LUGHA CHAFU
 We are absolutely thrilled and delighted to honor Jay-Z with this year’s GRAMMY Salute to Industry Icons Award. His contributions as an industry trailblazer and music visionary only begin to touch on the tremendous impact he’s made both in entertainment and beyond,” Neil Portnow, President and CEO of the Recording Academy, said. “Jay-Z also embodies the vibrant spirit of New York City and we couldn’t imagine a more fitting honoree as we return to Manhattan for this year’s GRAMMY Awards.


Jay Z anaingia kwenye rekodi na yeye kwa kuthamini mchango wake huku baadhi ya wasanii waliowahi kupewa tuzo hiyo ni  Sir Richard Branson, Atlantic Records muanzilishi akiwa ni Ahmet Ertegun na muanzilishi wa Motown  Berry Gordy.

 Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali lakini pia Subscribe Youtube Channel ya DM Online Tv.


Pages