SOFA ZA RAIS BUHARI ZAWAACHA MIDOMO WAZI WANANCHI. - teknomovies
SOFA ZA RAIS BUHARI ZAWAACHA MIDOMO WAZI WANANCHI.

SOFA ZA RAIS BUHARI ZAWAACHA MIDOMO WAZI WANANCHI.

Share This
Wananchi wa Nigeria wamepata mshtuko baada ya kuona mazingira ya nyumbani kwa rais wao Muhammad Buhari huko Daura, Jimbo la Katsina.



Wananchi hao wameona nyumba ya rais kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook baada ya mmoja kupost picha akiwa na rais huyo huku masofa yakionekana kuisha.

Pamoja na picha hiyo kupokewa kwa hisia tofauti, wapo waliosema kuwa rais Buhari hapendi makuu anapenda kuishi maisha ya kawaida.



No comments:

Post a Comment

Pages