KAMA UNAMPENDA MPENZI WAKO KISA ANA SURA NZURI, BASI UKO TOFAUTI NA HUYU JAMAA. - teknomovies
KAMA UNAMPENDA MPENZI WAKO KISA ANA SURA NZURI, BASI UKO TOFAUTI NA HUYU JAMAA.

KAMA UNAMPENDA MPENZI WAKO KISA ANA SURA NZURI, BASI UKO TOFAUTI NA HUYU JAMAA.

Share This

Ni hivi karibuni tu Lin Zhouqiang ameoana na Xu Qinqin. Wawili hawa wameshinda majaribu yaliyopo kwenye mamilioni ya vijana wanaoamini kuwa mapenzi ni sura nzuri, shepu kama ya gigy money na mweupe kama Zari.



Qinqin, anaonekana kama sio msichana mrembo hali iliyopelekea kuchekwa na wanafunzi wenzake ,wafanyakazi wenzake, majirani wenzake hata baadhi ya wanafamilia wanamcheka.


Wote hao wanaomcheka hakujitokeza hata mmoja kumwambia "Nakupenda" mpaka alipokutana na Zhouqiang na wakafunga ndoa . Watu walikuwa wanamcheka kuwa ana sura mbaya lakini Zhouqiang anasema amempendea hiyo sura yake.



Zhouqiang 23,  na mkewe Qinqin 21, walikutana kupitia internet na mpaka wameoana na sasa wanafurahia ndoa yao. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba Je pua ya Qinqin's iko wapi? Nini kilitokea akapoteza pua yake?

Kwa mujibu wa mama yake Qinqin's ni kwamba pua ya mtoto wake iling'atwa na panya akiwa mdogo kabisa (Siku 29 tangu kuzaliwa). Panya huyo hakuishia kung'ata pua tu kwani pia aling'ata sehem ya macho na hiyo ndio sababu ya mtoto wake kuonekana hivyo alivyo.



 Kwa sasa Qinqin's ana enjoy maisha ya ndoa na mchuchu wake kiroho safi. Ukiambiwa mapenzi ni Majani huota popote usibishe.

No comments:

Post a Comment

Pages