Filamu hii haijapata umaarufu mkubwa lakini ninaweza kusema ni filamu bora sana kwa watu wanaopenda Filamu za Mapenzi au kwa lugha nyingine,Romantic Film.
Iliachiwa Novemba 03 mwaka huu,Lakini ilioneshwa mwanzoni kabisa Januari 25. Ni filamu ambayo kwa upande mwingine inaweza ikawa ni filamu ambayo kwa chanzo cha kisa chake haki hakisi sana maisha yetu ya Kiafrika lakini kwa jinsi maisha yalivyofanyika ndani katika jamii yoyote mambo huwa ynatokea.
Kwa maana sifikiri kama kuna watumiaji wengi wa Apps,Za mapenzi yani za kutafutia Wapenzi.
Ebu tucheki Kastory kake kidogo...
Martin na Gabi ni wapenzi ambao kwa mara ya kwanza walikutana katika App ya kutafuta wapenzi. Siku ya kwanza kuonana,Gabi alikuwa ametoka kuonana na jamaa huko akapigishwa kwichi kwichi alafu kwa bahati baada ya kuchati wakaonana na Martin.
Nae Martin alikuwa apige Kwichi Kwichi lakini ilishindikana ndio ikawa kuonana na Gabi ambae mwisho wa siku wakaenda kupiga mzigo wa kibabe.
Walianza kiutani utani kwa Kwichi Kwichi za kumwaga,baadae mpaka wakaamua kuishi pamoja huku wakiendeleza maisha yao ya Kwichi Kwichi za maana.
SOMA PIA:PAKUA HAPA AMERICAN MADE YA MKALI TOM CRUISE
Lakini baadae mahusiano yao wakaamua yawe Serious lakini tatizo likawa kila mmoja ikawa kama dizaini flani mahusiano yaliyopita yalikuwa bado yanawatesa hivyo wakawa wanajikuta wana Cheat sana.
Kuna kitu baadae waliamua kufanya jambo,walienda kwa mshauri wa mahusiano ili kunusuru mahusiano yao ambayo yalianza kuingia dosari.
SOMA PIA:FAHAMU NAMNA SCENES ZA MAPENZI ZINAVYOANDALIWA
Baada ya kutoka kwa Mshauri huyo,Waliamua kuwa kila mmoja kuwa muwazi kwa kila jambo,Yani waliamua kwa mfano unatamani ku Kwichi Kwichi na mtu mwingine,Unasema tu alafu inakuwa fresh.Yani usifiche kwa namna yoyote.
Walianza hako ka Njia kwa kupiga Kwichi Kwichi za hapa na pale,Huku kila mmoja akimwambia mwenzake kila kilichotokea yani kama umeenda kukwichi Kwichi lazima umwambie mwenzako...Hahaha Unafikiri walifanikiwa katika Hilo?
Kuna scene moja wakati mapenzi yamekolea hasa,Walinifurahisha sana eti wakawa wanasema Fuck Single,hahaha si unajua mapenzi yakikolea lazima ujilaumu kwanini ulikuwa Singo.
Kuna Drama nyingi,kuna sehemu waligombana sasa sio kwa matusi hayo waliyotoleana,All in All ni bonge moja la movie ambalo litakuacha ufurahi kulitazama.
SOMA PIA:FAHAMU MAMBO USIYOJUA KUTOKA FILAMU YA TITANIC
Ila onyo,Filamu hii ina Scene nyingi sana za kwichi kwichi kwahiyo kuwa makini kama utatazama peke yako Fresh lakini kwa watoto na wazazi,hapo kasheshe.
Bonyeza HAPA kushusha Filamu Hii sasa.
Unaweza Kutazama Hapo Chini Trailer Yake Kwa Kubonyeza Play.

Tags
# Uchambuzi
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Newer Article
American Made,Story Ya Kweli Ikifanywa na Mkali Tom Cruise#Download
Older Article
P Diddy Amebadilisha Jina Lake La KIsanii,Unajua Anataka Aitwe Nani Sasa?#Fahamu
Uchambuzi : Ni kweli Despacito Haikustahili kupewa tuzo ya wimbo bora?
AnonymousJan 29, 2018Filamu Ya Saw Ilishutiwa Kwa Siku 18 Tu, Tena Bila Kufanya Hata Mazoezi Kidogo,Mafanikio Yake Sasa
Swahili MuzikJan 28, 2018FAHAMU :Mambo 5 kuhusu Kampuni ya Apple
AnonymousJan 13, 2018
Labels:
Uchambuzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!