Mkali Tom Cruise mwaka huu baada ya kutuletea The Mummy,Safari hii katuletea zawadi nyingine tena kabisa inayokwenda kwa jina la American Made,ambayo ni stori ya kweli kabisa ikimuhusu jamaa ambae alikuwa ni Rubani akifahamika kwa jina la Barry Seal.
Kisa cha jamaa bhana,Alikuwa ni Rubani akifanya trip zake maeneo ya Colombia na maeneo mengine ya America Kusini,Lakini kumbe katika safari hizo alianza kujihusisha na Biashara haramu ya Madawa ya kulevya na genge moja kubwa sana,Na kumbuka filamu hii,Imewekwa katika mazingira ya miaka ya 80 kipindi hicho akina Pablo Escobar ndo wanatawala haswaa.
SOMA PIA:NEWNESS FILAMU KALI ISIYOJULIKANA
Lakini katika mishe zake alikuja kustukiwa na maofisa wa kimarekani,Ambapo ili kuepuka kupelekwa sero alikubali kuwa Shushushu (Spy).
Hivi Unajua ubaya wa kuwa Spy,Ukishikwa adhabu yake wengi huwa tunaijua..sasa je bwana Barry Seal katika mpango huo mpya atafanikiwa?
Bonyeza hapo chini Download kujipakulia filamu Hii.

Tags
# Filamu
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Filamu Ya Saw Ilishutiwa Kwa Siku 18 Tu, Tena Bila Kufanya Hata Mazoezi Kidogo,Mafanikio Yake Sasa
Swahili MuzikJan 28, 2018Oscar 2018 : Filamu ya Shape of Water inagombea tuzo kwenye vipengele 13
AnonymousJan 27, 2018BREAKING NEWS : Hii hapa list ya wanaowania tuzo za Oscar 2018
AnonymousJan 23, 2018
Labels:
Filamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!