Jungle Tupo Nayo Leo Hapa - teknomovies
Jungle Tupo Nayo Leo Hapa

Jungle Tupo Nayo Leo Hapa

Share This
Baada ya kufahamika vyema katika Harry Potter,Daniel Radcliffe Sasa kwa mwaka 2017 amekuja na filamu hii mpya inayokwenda kwa jina la Jungle.

Group la marafiki kadhaa wanaungana na kwenda katika msitu mkubwa Huko katika nchi ya Bolivia lengo likiwa kusaka moja ya kijiji cha kihistoria ambacho ilikuwa inasemekana kilikuwepo katika miaka ya zamani.

Lakini baada ya kufika huko,Hali inachafuka ndipo wanagundua kuwa sehemu waliyofika ilitakiwa hata wasianze kufikiria kwenda sehemu hiyo.

Hii nayo kwa siku ya leo imepata nafasi ya kuwekwa hapa,Hivyo unaweza kubonyeza hapo chini Ili kuishusha filamu hii sasa.

Pages