Taarifa kuhusu Nick Minaj kuwa na ujauzito - teknomovies
Taarifa kuhusu Nick Minaj kuwa na ujauzito

Taarifa kuhusu Nick Minaj kuwa na ujauzito

Share This
Mtandao wa Allhiphop.com ambao unajihusisha na kutoa taarifa za wasanii wa hip hop umeripoti kuwa mwanamuziki Nick Minaj ana ujauzito na kwamba tetesi hizi zimethibitishwa kupitia chanzo cha kuaminika.
Taarifa zinadai kuwa Nick alijitambua kuwa ni mjamzito mwishoni mwa mwezi wa 12 na ana mpango wa kutoa taarifa rasmi kwenye tuzo za Grammy mwaka huu.

Kingine kinachoipa nguvu taarifa hii ni kupotea kwa nick minaj kwenye mitandao ya kijamii ukilinganisha na kipindi cha awali.

No comments:

Post a Comment

Pages