REIGN OF ASSASSINS, FILAMU YA KICHAPO CHA HATARI TOKA KWA WACHINA - teknomovies
REIGN OF ASSASSINS, FILAMU YA KICHAPO CHA HATARI TOKA KWA WACHINA

REIGN OF ASSASSINS, FILAMU YA KICHAPO CHA HATARI TOKA KWA WACHINA

Share This
Ilitoka mwaka 2010. Ikiwa imeongozwa na Director mkubwa kutoka China, Su Chao-Pin lakini kutokana na kusaidiwa kwa kiasi kikubwa na John Woo ambae alikuwa Produza nae alipewa Credit yake ya kama Director.

SOMA  PIA: MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU

Michelle Yeow, Mama wa ngwasuma ndiye aliyepewa kazi ya kusimamia mchongo mzima kama Starring na kazi hakika aliifanya Ipasavyo japo haikufanya sana Fresh sokoni lakini ni mojawapo ya Filamu kali sana hasa kwa wote ambao wanapenda Filamu za Kichina ambazo zimejaa Kichapo cha nguvu.

Unaweza Kupakua kwa Kubonyeza HAPA sasa na kuweza kuenjoy kwa muda na usisahau kumstua mshikaji kuhusu mchongo huu.

No comments:

Post a Comment

Pages