Deadpool 2 kuachiwa wiki mbili kabla ya tarehe rasmi - teknomovies
 Deadpool 2 kuachiwa wiki mbili kabla ya tarehe rasmi

Deadpool 2 kuachiwa wiki mbili kabla ya tarehe rasmi

Share This
Kutokea mtandao wa Hollywood Reporter umeripoti kuwa filamu ya Deadpool 2 itaachiwa wiki mbili kabla ya tarehe iliyopangwa kuachiwa. Filamu hii ilipangwa kuachiwa tarehe 1 June ila sasa itaachiwa May 18. Mabadiliko hayo yamesababisha tarehe za kuachiwa Gambit na The New Mutants kupelekwa mbele kidogo.
Kwa upande wa tovuti ya Insider wameripoti kuwa filamu hiyo ya Deadpool 2 inayosubiriwa kwa hamu imerudishwa nyuma ili kuzuia mgongano na X Men kwenye mzunguko wa Soko kwani zote zinatokea kwenye kampuni ya FOX.

Mutants sasa itaachiwa rasmi February 22 2019 badala ya April 13 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Pages