FAHAMU: KANGAROO JIKE ANA SEHEMU TATU ZA UKE,ZINAFANYAJE KAZI? - teknomovies
FAHAMU: KANGAROO JIKE ANA SEHEMU TATU ZA UKE,ZINAFANYAJE KAZI?

FAHAMU: KANGAROO JIKE ANA SEHEMU TATU ZA UKE,ZINAFANYAJE KAZI?

Share This
Binafsi napenda kuwasoma Wanyama mbalimbali na tabia zao, Wakati nikiwa nasoma hapa na pale nikakutana na habari hii kumuhusu Mnyama Kangaroo jike ambao katika sehemu zao za siri wao huwa na sehemu tatu za Uke kwa lugha rahisi kabisa.

Unaambiwa Kangaroo Jike wana sehemu za siri Tatu (Uke) na pia Mifuko ya Mimba Miwili na kila moja ikiwa na kazi yake maalumu.
Mfumo wa uzazi wa kangaroo
Katika picha hapo Juu kama unaona vizuri ndivyo muonekano wa namna system nzima ya viungo vya uzazi kwa Kangaroo jike inaonekana ambapo upande wa kushoto uke wa kwanza, ndipo ambapo mbegu za kiume zikimwaga huanza kutulia hapo kwanza  na kisha kuanza kurutubishwa kabla ya kupitia hapo kati kati katika Uke wa kati ambao kazi yake ni kama sehemu ya mapumziko ambapo mtoto hutoka na kwenda pia kukua fresh kabisa.

SOMA PIA: FAHAMU APP ITAYOKUPATIA LYRICS ZA WIMBO WOWOTE ULE

Na Uke mwingine uliobaki kazi yake kubwa ni kufanikisha tendo la kujamiiana na kuhakikisha mbegu za Dume hazipotei bure kabisa, lakini pengine unaweza kushangaa kama Kangaroo Jike kuwa na sehemu za Uke tatu..Upande wa Kangaroo Dume nae unaambiwa ana Uume ambao umegawanyika mara mbili hivyo kwa upande mwingine ni sawa kabisa kwa sababu sehemu mbili za uke zinakuwa zinapata kazi yake husika.

Soma zaidi katika vyanzo hivi viwili ambavyo vimeelezea kwa undani sana Bonyeza Hapa na  Hapa 



No comments:

Post a Comment

Pages