Unaweza Usiamini,Lakini Picha Hizi Zimechorwa Kwa Mkono. - teknomovies
Unaweza Usiamini,Lakini Picha Hizi Zimechorwa Kwa Mkono.

Unaweza Usiamini,Lakini Picha Hizi Zimechorwa Kwa Mkono.

Share This
Zamani Ishu ya kuchora ilikuwa ikichukuliwa kama kitu cha kawaida lakini kwa sasa imekuwa ni sanaa kubwa na inayoingiza kipato kikubwa sana kwa wenye vipaji (Wachoraji).
Kutana Mchoraji Anaefahamika Kwa Jina La Given ambae Huchora kwa kutumia Kalamu pamoja na Pen ya Wino Ambapo anasema kwa Picha za kalamu humchukua Kwa kawaida Siku Tatu Kumaliza na Kwa Pen ya Wino humchukua Siku Tano.

Katika mahojiano mafupi tuliyofanya na Mchoraji huyo Kupitia Mtandao wetu wa Twitter anasema pia kuwa kupenda kuchora alianza tangu akiwa Darasa la Tano na hajawahi kusomea sehemu Yoyote bali ni Kipaji ambacho amejaaliwa.

Mawasiliano Yake Kama Utapenda Kufanyiwa Kazi


 Tazama Baadhi Ya Picha Zake Ambazo Amezichora Kupitia Mkono wake Mwenyewe na wala Hakuna matumizi yoyote ya chombo cha Elektroniki.







Tazama Hapa Chini Namna Ambavyo Akichora Picha Zake                                    

Usiache Kutucheki Facebook,Twitter na Instagram @teknomovies Kwa Mastory Mbalimbali Makali Pamoja Pakua App Ya Teknomovies Kupitia PlayStore

No comments:

Post a Comment

Pages