Mkali Wa Despacito Kaja Na Balaa Lingine Tena#Fahamu - teknomovies
Mkali Wa Despacito Kaja Na Balaa Lingine Tena#Fahamu

Mkali Wa Despacito Kaja Na Balaa Lingine Tena#Fahamu

Share This
Najua wengi wanaupata wimbo wa Despacito,Wimbo ambao umeweka rekodi kadhaa ikiwa moja ni rekodi ya video ambayo imetazamwa zaidi kuzidi nyingine katika mtandao wa Youtube ikiwa imetazamwa na watu zaidi Bilioni 4.3 mpaka sasa.
Luis Fonsi ndiye mwenye wimbo huo ambapo alimshirikisha mshikaji wake Daddy Yankee na baadae ikipigwa remix kali na mkali Justin Bieber ambayo ndiyo iliyoweza kuboost wimbo na kufahamika na wengi sana ulimwenguni.

Habari njema kwako pia,Jamaa kaachia dude lingine akimshirikisha mrembo Demi Lovato wimbo ukiitwa Echame La Culpa Ukiwa na maana ya Blame Me kwa Kiswahili Nilaumu.

SOMA PIA>>PAKUA ALBAMU MPYA YA SAM SMITH

Nimeupenda sana binafsi wimbo kuanzia Biti,Staili wanazocheza ndani na nimependa zaidi mwanadada Demi kwa jinsi alivyoweza kuumiliki pia vyema wimbo,Japo sielewi kiispania lakini una feel ile tunaita vibe ya wimbo inakuingia unaweza ukatafsiri kama unajua vile (Haha)

Baada ya kuwekwa Tarehe 17 mwezi wa 11 mwaka huu 2017 kwa siku moja imekusanya tayari watazamaji Milioni 20 kwa siku moja tu yani masaa 24.

Bonyeza nawe Play ili kuweza kuenjoy muziki mzuri,Alafu tuachie maoni yako hapo chini au Sio.                 
PAKUA AUDIO HAPA
     

1 comment:

  1. Million 20😂😂😂😂😂halafu alikiba anajisifu watu milioni moja..... Walah waafrika tulizaliwa kusindikiza wengine.........

    ReplyDelete

Pages