Tazama Picha Zote Za Harusi Ya Serena Williams Hapa Sasa - teknomovies
Tazama Picha Zote Za Harusi Ya Serena Williams Hapa Sasa

Tazama Picha Zote Za Harusi Ya Serena Williams Hapa Sasa

Share This
Serena Williams Alhamis Hii alifunga ndoa na mpenzi wake ambae ni mwanzilishi wa mtandao wa Redit Alexis Ohanian wakiwa pamoja na mtoto wao Alexis ambapo ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa kadhaa kama Beyonce,Kim Kardashian,Lala Antony,Ciara pamoja na Kelly Rowland.
Hapa tumekuwekea picha mbalimbali Ya juu kilichotokea Siku ya Harusi Hiyo ya Mcheza tenisi huyu Maarufu ulimwenguni.

Tazama Hapa chini.....































1 comment:

Pages