Sasa Unaweza Kusoma Ujumbe Uliofutwa,Fahamu Maujanja Haya - teknomovies
Sasa Unaweza Kusoma Ujumbe Uliofutwa,Fahamu Maujanja Haya

Sasa Unaweza Kusoma Ujumbe Uliofutwa,Fahamu Maujanja Haya

Share This
Baada ya Whatsapp kuruhusu mtu kuweza kufuta ujumbe wake ambao unaweza ukawa umetuma kimakosa na watu wengine wasiweze kuuona tena lakini inakubidi ufanye hivyo ndani ya Dakika 7.
Kutokea mtandao wa Teknokona umeripoti kuwa,kama mtu unataka kusoma ujumbe ambao umefutwa bila kuona sasa unaweza kuona kwa kufanya maujanja kadhaa na utaweza kusoma ujumbe huo hata kama mtu alifuta.
Ili kuweza kufanya hivyo,unaweza kutumia App ya Notification history ambayo inapatikana katika Playstore na utaweza kusoma ujumbe huo hata kama mtu kawahi kuufuta tena bila kutumia nguvu nyingi.

Pakua Hapa App hiyo ili kuweza kufanya maujanja ujanja yako.

Chanzo:teknokona

No comments:

Post a Comment

Pages