UJIO MPYA WA JEAN CLAUDE VAN DAMME, KATIKA SERIES HII HAPA - teknomovies
UJIO MPYA WA JEAN CLAUDE VAN DAMME, KATIKA SERIES HII HAPA

UJIO MPYA WA JEAN CLAUDE VAN DAMME, KATIKA SERIES HII HAPA

Share This
 Kama ulimmiss Mtu mzima Jean Claude Van Damme basi hii kwako mpenzi wa Filamu inaweza kuwa ni habari njema zaidi.

Sasa kuna series ambayo inaendelea ambapo imepewa jina la Jean Van Claude Johnson, ambapo inahusu stori ya mtu mzima Van Damme, ambaye ndiye Johnson ambae anaamua kurudi kazini tena kama Private UnderCover kwaajili ya kupambana na uhalifu.

SOMA PIA>> MY SHY BOSS PITA NAYO HAPA SERIES KALI YA KIKOREA

Mpaka sasa zimetoka Episodes 06, Lakini katika mtandao imeanza kupatikana moja ambayo ndiyo Episodes ya Kwanza kabisa.

Series hii kwa kila Episode inatazamiwa kuwa na dakika zisizozidi 30. Watu wengi wamekuwa wakiisifia hasa Uwezo wa Van Damme pamoja na namna Direkta alivyofanya kazi.

Pakua Hapa Episode 01.

No comments:

Post a Comment

Pages