Trailer ya kwanza ya filamu ya Ocean 8 Yaachiwa - teknomovies
Trailer ya kwanza ya filamu ya Ocean 8 Yaachiwa

Trailer ya kwanza ya filamu ya Ocean 8 Yaachiwa

Share This
Kwa mara ya kwanza trailer ya filamu ya Ocean 8 ambayo mwanadada Rihanna ametokelezea imeachiwa.


Ndani ya hiyo Filamu Rihanna amecheza kama mtaalamu wa computer "Hacker" ambapo maudhui ya jumla ya filamu hiyo inahusu wanadada 8 ambao ni majambazi.

Mchongo unatarajiwa kuachiwa June 8 2018.

Cha kufanya kaa karibu na Teknomovies.com ili upate update mbalimbali kuhusu filamu hii.

Tizama hapa Trailer yenyewe




Usisahau Kutufollow Instagram, Twitter na Facebook @Teknomovies kwa Updates mbalimbali  

No comments:

Post a Comment

Pages