THE BRAVE SERIES KALI AMBAYO HAUTAKIWI KUIKOSA KATIKA LIST YAKO - teknomovies
THE BRAVE SERIES KALI AMBAYO HAUTAKIWI KUIKOSA KATIKA LIST YAKO

THE BRAVE SERIES KALI AMBAYO HAUTAKIWI KUIKOSA KATIKA LIST YAKO

Share This
Kwa mwaka 2017,  Ukitaja mojawapo ya Series kali ambayo hupaswi kutokuiweka katika List yako basi mchongo huu wa The Brave ni mojawapo.
Ilianza kuineshwa Septemba 25, ambapo mpaka sasa zimekatika Eps 09 huku ikiwa na watazamaji wa kutosha hali inayopelekea uwezekano wa kutokea kwa Season ya pili baada ya kumalizika hii ya kwanza.

Mchongo Unahusu Nini?

Kwa ambao wamemiss michongo ya kivita basi hii inawafaa hasa na hata wale wanaopenda michongo ya Intellegensia ya nguvu pamoja na mission za nguvu basi hii isikupite.

Captain Adam pamoja na mkuu wa kitengo cha DIA mwanamama wa nguvu Patricia Campbell kwa pamoja wanafanya mission za nguvu kwa kuokoa watu katika maeneo ya hatari ambayo yamezungukwa na magaid wa hatari.

SOMA PIA>>JAY Z KAAMUA KUFANYA HICHI KWA SHABIKI YAKE

Mission zinapangwa na kutekelezwa kwa hali ya juu hali inayofanya mchongo huu kuvutia zaidi na zaidi.

Bonyeza HAPA Kushusha mchongo mzima wa Season ya kwanza na usiache kutuachia maoni yako.

No comments:

Post a Comment

Pages