BEYOND THE SKYLINE,IMEKURUDISHIA MKALI WA THE RAID KWA MARA NYINGINE TENA - teknomovies
BEYOND THE SKYLINE,IMEKURUDISHIA MKALI WA THE RAID KWA MARA NYINGINE TENA

BEYOND THE SKYLINE,IMEKURUDISHIA MKALI WA THE RAID KWA MARA NYINGINE TENA

Share This
Skyline ya kwanza iliachiwa mwaka 2010, lakini haikufanya fresh sana na hata wengi wanaopenda Filamu wanaweza wakawa hata hawaijui fresh lakini baada ya kuachiwa hii nafikiri wengi wanaweza kuitafuta ya kwanza.

Hii imeachiwa Desemba 15 mwaka 2017, Mkali kutoka The Raid, Iko Uwais na pia mkali mwingine kutoka Wolf Warrior 2,End Of Watch,The Grey pamoja na michongo mingi mingi Frank Grillo lwa pamoja wameunganishwa ndani ya mchongo huu.

SOMA PIA:THE BRAVE SERIES KALI KWA MWAKA 2017

Ukiamua kuitizama hii itakuchukua Dakika zako 105 kuimaliza yote. Kama kawaida ya mtandao wako wa nguvu mchongo tayari umenaswa chakufanya ni wewe kuandaa Mbs zako na kuweza kushusha mzigo mzima sasa kwa kubonyeza hapo chini sasa.

Bofya HAPA sasa kupata mzigo mzima.

No comments:

Post a Comment

Pages