Rihanna atokea kwenye cover la filamu ya Ocean 8 - teknomovies
Rihanna atokea kwenye cover la filamu ya Ocean 8

Rihanna atokea kwenye cover la filamu ya Ocean 8

Share This
Wapenzi wa filamu walikuwa wakisubiria kwa hamu cover la filmau ya Ocean 8 litoke, sasa good news ni kwamba limetoka. Good news haiishii hapo bali pia sura za mastaa kadhaa zimetokea akiwemo Rihanna, Cate Blanchett, Anne Hathaway, Mindy Kaling, Sarah Paulson, Awkwafina na wengieo.
Filamu hii ya Ocean 8 inahusu kundi la vibaka wanawake linalofanya ujambazi kwenye show ya Met Gala mjini New York, Rihanna anaigiza kama mtaalamu wa computer kwenye filamu hii inayopangwa kuachiwa June 8 2018.
Mzigo ukitoka utaupata hapa hapa kwenye Best Site on Entertainment and Movie staff teknomovies.com
Kaa Karibu na Familia yako kupitia Facebook, Instagram na Twitter @Teknomovies ili uwe wa kwanza kupata mastori makali.


No comments:

Post a Comment

Pages