The Conjuring 2,Namna Ilivyomuua Mtu India na Wengine Kupotea Kusikojulikana - teknomovies
The Conjuring 2,Namna Ilivyomuua Mtu India na Wengine Kupotea Kusikojulikana

The Conjuring 2,Namna Ilivyomuua Mtu India na Wengine Kupotea Kusikojulikana

Share This
Ilikuwa ni Mwaka 2016 Ambapo mzee Mwenye miaka 65 alifariki wakati alipokuwa akitazama Filamu ya The Conjuring 2.
Tukio hilo lilitokea Huko India,Ambapo marehemu huyo aliyefahamika kwa jina la Andhra Pradesh wakati akiwa katika Cinema akitazama Filamu hiyo mwishoni alianza kulalamika Maumivu ya kifua na mwisho alianguka chini.

Baada ya kuanguka alikimbizwa katika Hospitali ya karibu ambapo Daktari alithibitisha mtu huyo kuwa tayari ameshafariki na kuamuru kupelekwa katika Maabara katika Hospitali nyingine kwaajili ya Uchunguzi Zaidi,

PITA HAPA>>PAKUA THE CONJURING 1

Lakini la kushangaza zaidi ni watu ambao walisafiri na mwili wa marehemu kwaajili ya kumpeleka katika Hospitali nyingine kwaajili ya uchunguzi wote hawafahamiki walipo pamoja na Mwili wa marehemu hali iliyozua utata zaidi.

PITA HAPA>>PAKUA THE CONJURING 2

Kutokana na matukio hayo,Watu walianza kuhusisha tukio hilo na imani za Kishirikina Jambo ambalo lilizua utata mkubwa ambapo mpaka Leo mwili na hao watu waliohusika katika kusafirisha mwili huo hawajawahi kupatikana.

Katika mitandao ya kijamii pia kulikuwa na matukio ya ajabu ambayo watu walikuwa wakitoa ripoti hasa baada ya kutazama filamu ya The Conjuring 2 ambayo inahitaji Moyo mzito kuitazama.

2 comments:

  1. hii movie pasua kichwa aisee...... Mfano,,, umetulia unaicheki then tanesco wafanye yao... akiyanan utajua kuzimu kupo ajeh .... hahahaaa... sema naikubali

    ReplyDelete

Pages