Breking News : Netflix yafuta uzinduzi wa filamu ya Kevin Spacey - teknomovies
Breking News : Netflix yafuta uzinduzi wa filamu ya Kevin Spacey

Breking News : Netflix yafuta uzinduzi wa filamu ya Kevin Spacey

Share This
Kampuni ya utayarishaji na usambazaji wa filamu ya Netflix imeamua kufuta ratiba ya uzinduzi wa filamu kufuatia mmoja wa waigizaji katika filamu hiyo kutuhumiwa na udhalilishaji wa kingono.
Kevin Spacey anatuhumiwa na unyanyasaji wa kingono ambapo kuna kampeni maalum ya kuwafichua wote wanaowanyanyasa kingono wasanii wa kike.


Movie hiyo ya kutisha inayokwenda kwa jina la  All the money in the world ilipangwa kuachiwa Dec 22 lakini kutokana na Kevin Spacey kuwa na tuhuma, wameamua kufuta ratiba yote.

Kibaya zaidi ni kwamba scene zote alizotokea Kevin zitarudiwa na mtu mwingine.
flix  imeamua kufuta ratiba ya uzinduzi wa filamu kufuatia mmoja wa waigizaji katika filamu hiyo kutuhumiwa na udhalilishaji wa kingono.


No comments:

Post a Comment

Pages