P Diddy Amebadilisha Jina Lake La KIsanii,Unajua Anataka Aitwe Nani Sasa?#Fahamu - teknomovies
P Diddy Amebadilisha Jina Lake La KIsanii,Unajua Anataka Aitwe Nani Sasa?#Fahamu

P Diddy Amebadilisha Jina Lake La KIsanii,Unajua Anataka Aitwe Nani Sasa?#Fahamu

Share This
Rapper na mfanyabiashara P diddy kwa mara nyingine tena ameamua kubadilisha jina lake la kisanii na sasa amesema aitwe Brother Love .

Katika siku yake ya kuzaliwa Diddy ambaye ndio msanii wa hiphop mwenye pesa nyingi zaidi akiwa na thamani ya dola bilioni moja ametangaza jina lake jipya.

Diddy anasema "Leo rasmi nitaanza kuitwa Love a.k.a. Brother Love, sitaitika tena nikiitwa Puffy, Diddy, Puff Daddy au jina lingine lolote’

SOMA PIA:SHABIKI ARUSHA BRAZIA JUKWAANI WAKATI DRAKE AKIPAFOMU






No comments:

Post a Comment

Pages