Shabiki arusha Brazia jukwaani baada ya kupagawa na show ya Drake - teknomovies
Shabiki arusha Brazia jukwaani baada ya kupagawa na show ya Drake

Shabiki arusha Brazia jukwaani baada ya kupagawa na show ya Drake

Share This
Ukiwa shabiki mnazi basi chochote unaweza kufanya bila kujali mahali ulipo. Hali hiyo imemtokea shabiki mmoja wa kike nchini New Zealand usiku wa kuamkia leo ambapo msanii Drake alikuwa akifanya show kwenye moja ya concert nchini humo.


Kupitia Video iliyosambaa kwenye mtandao wa Instagram inaonesha mwanamke huyo akirusha Brazia yake jukwaani baada ya kunogewa na show ya Drake.

SOMA PIA:WANAOTEMBEA WAKITUMIA SIMU KUKAMATWA MAREKANI

Baada ya kumaliza kutumbuiza Drake alienda kuokota Brazia hiyo na kisha kusikika akisema Atamtafuta mwanamke huyo "I'll talk to you later" 


Bado haijaeleweka kama Drake ameamua kumtafuta mwanamke huyo kwa nia ya kuzungumza nae kawaida ama kuna cha ziada .

Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali lakini pia Subscribe Yotube channel ya DM Online Tv.

No comments:

Post a Comment

Pages