Armed Response,Jiwe Jipya La Wesley Snipes#PakuaSasa - teknomovies
Armed Response,Jiwe Jipya La Wesley Snipes#PakuaSasa

Armed Response,Jiwe Jipya La Wesley Snipes#PakuaSasa

Share This
Najua wengi mara ya mwisho kumuona Wesley Snipes itakuwa katika Expendables sehemu ya tatu lakini hii inaweza kuwa habari njema kwenu Wapenzi wa filamu.

Hii filamu yake ambayo kacheza pia ndani,lakini pia ameshiriki vyema katika kuiandaa Iliachiwa August 04 mwaka huu ikiandaliwa na makampuni matatu.

Ukitizima itapoteza dakika zako,93 tu...na pengine hii filamu itakuwa imeanza kuturudisha kipindi ambapo Wesley Snipes alipocheza katika mchongo wa Blade.

Kikosi hatari kikiwa na mkali Wesley wanajikuta wakiwa wamezungukwa na vitu vya ajabu hasa baada ya kwenda kufanya uchunguzi juu ya chanzo cha vifo kwa timu ya kwanza ambayo ilikuwa imetumwa.

Bonyeza hapo chini katika kitufe cha Download ili kuimiliki Filamu hii sasa.

Pages