Wiki hii mtu mzima Jigga ameweza kuachia Teaser ya wimbo wake wa kwanza wa Kill Jay z.
Katika video hiyo Fupi, inamuonesha mtu akiwa kalala Chini, huku kamera ikizidi kwenda juu ambapo picha ya mtu huyo inazidi kuonekana kua ndogo na ndogo zaidi, na baadae rangi nyeusi inamalizika.
Tazama Hapa Chini.
— TIDAL (@TIDALHiFi) July 17, 2017
Bado haijafahamika kama Teaser iliyoachiwa safari hii, Itakua ni sawa na Teaser ya mwanzo ambayo iliachiwa.
Tazama hapa chini.
— TIDAL (@TIDALHiFi) June 28, 2017
Jigga tayari kaachia Video mbili mpaka sasa toka albamu hiyo ya 4:44 ambazo ni "The story of O.J" "4:44" na "BAM" na Kill Jay Z inatazamiwa kutoka Ijumaa muda 4:44 p.m.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO THE STORY OF O.J
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO THE STORY OF O.J
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO YA 4:44