13 Reasons Why |Download Here - teknomovies
13 Reasons Why |Download Here

13 Reasons Why |Download Here

Share This
 13 REASONS WHY"*

Inaeleza Maisha Ya Mtoto Mzuri Hannah Baker Ambaye Anaamua Kujiua Na Kuacha Kila Mtu Akijiuliza Ni Nin Reasons Zilizopelekea  Msichana Mrembo Hannah To Commite Suicede.

Wiki Mbili Baada Yakifo Chake Clay Jensen Ambaye Alikuwa NI Rafiki Wa Hannah Na Pia Jamaa Alikuwa Ana Crush Kitu Ambacho Hakuweza Kumwambia Mtoto Hannah (domo zege chalii alikuwa🤣), Clay Anakutana Na Boksi Mlangoni Kwao Likiwa Limeandikwa Jina Lake,Kufungua Ndani Anakutana Na Kanda(casset) Anatafuta Radio Ili kusikiliza Kilichomo Ndani Kanda Hizo, Anapigwa Mshangao Pale Anapokutana Na Sauti Ya Crush Wake Hannah Ambaye Sasa Ni Marehemu. Ndani Ya Kanda Hizo Hannah Anaelezea Maisha Yake Na SABABU 13 Za Kujiua Kwake Pamoja Na List Ya Watu Walio Husika Na Kifo Chake.....

Na Wewe Unataka Kujua Sababu Za Kifo Cha Mrembo Huyu?? Simple Husake Mzigo Huu Kaa Chini And "LISTEN TO THE TAPES"....

NB: Kama Wajijua Ni Mzito Wa Kuelewa Basi Hii Si Kwa Ajili Yako Maana Utaumwa Kichwa... Enjoy
                 
kama una Torrent App or Software Katika pc or simu yako Bofya Hapa kushusha Hd Quality 

No comments:

Post a Comment

Pages