MUME AMKIMBIA MKEWE WAKIWA FUNGATE, NI BAADA YA KUMUONA BILA MAKE-UP. - teknomovies
MUME AMKIMBIA MKEWE WAKIWA FUNGATE, NI BAADA YA KUMUONA BILA MAKE-UP.

MUME AMKIMBIA MKEWE WAKIWA FUNGATE, NI BAADA YA KUMUONA BILA MAKE-UP.

Share This
Dunia ina mambo....!!! mwanamke kutoka Mpumalanga ameambulia talaka kutoka kwa mumewe siku mbili tu baada ya ndoa sababu ikiwa ni mwanaume huyo kumuona mkewe kwa mara ya kwanza bila make-up na kutomtambua.


Mwanaume huyo(40) ambae jina lake halikutambulika mara moja amemuacha mkewe (35) kutokana na kumuona amebadilika sura akadhania kuwa si mkewe lakini baadae daktari wa saikolojia akamwambia kuwa huyo ni mkeo na hapo hajajiremba (make-up) ndipo akamwambia hamtaki tena.

Dr Molapo kwa sasa ana kazi ya ziada ya kumrudisha mwanamke huyo kwenye hali ya kawaida ili akubaliane na hali halisi ya kuachwa.


Jiunge nasi kupitia Facebook, Instagram na Twitter @Teknomovies ili uwe wa kwanza kupata Updates mbalimbali

No comments:

Post a Comment

Pages