MUIGIZAJI WA HARRY POTTER (JIMY TAVARE) APATA AJALI MBAYA YA GARI. - teknomovies
MUIGIZAJI WA HARRY POTTER (JIMY TAVARE) APATA AJALI MBAYA YA GARI.

MUIGIZAJI WA HARRY POTTER (JIMY TAVARE) APATA AJALI MBAYA YA GARI.

Share This


Jim Tavare, muigizaji wa Harry Potter ambae alicheza kama Tom, alipata ajali mbaya usiku wa kuamkia tareh 7. Ajali hiyo imesababisha avunjike shingo na mbavu hali iliyopelekea kukimbizwa moja kwa moja ICU.

Jim akiwa kwenye wodi ya uangalizi maalum (ICU)

Mke wa Jimy aliandika kwenye ukurasa wa Facebook kuwa mumewe alipata ajali mbaya ya gari tareh 7 kwa kugongana na gari uso kwa uso na kusababisha kupata majeraha makubwa hadi kupoteza fahamu lakini usiku wa kuamkia tareh 9 ameweza kutikisa mguu ishara ya kuwa anapata ahueni.Amesema hakuwa kwenye jukumu la movie bali ni uhalisia.


No comments:

Post a Comment

Pages