WAJUE WATANGAZAJI MAARUFU DUNIANI WANAOLIPWA MKWANJA MREFU 2017 - teknomovies
 WAJUE WATANGAZAJI MAARUFU DUNIANI WANAOLIPWA MKWANJA MREFU 2017

WAJUE WATANGAZAJI MAARUFU DUNIANI WANAOLIPWA MKWANJA MREFU 2017

Share This
Jarida maarufu Duniani la Forbes limetoa orodha ya watangazaji wa redio maarufu na wakubwa Duniani wanaolipwa  fedha nyingi zaidi kuanzia mwezi Juni mwaka jana mpaka mwezi Juni mwaka huu.
Katika nafasi ya kwanza Jarida hilo nimemtaja Howard Stern kuwa ana mkwanja wenye thamani ya dola za kimarekani Milioni 90 ambayo ni sawa na Tsh. 202,050,000,000.
Howard Stern ambaye yuko katika mkataba mkubwa na kituo cha SeriusXM kwa sasa anamiliki jumla ya kiasi cha utajiri wa dola za kimarekani milioni 450.

Katika nafasi ya pili mtangazaji mwenye kulipwa mkwanja mrefu ni zaidi ni muongozaji wa kipindi maarufu cha ‘Trump bump’ Rush Limbaugh ambaye amelipwa dola za kimarekani milioni 84  kiasi ambachi ni sawa na Tsh. 202,050,000,000.



Katika nafasi ya tatu imeshikwa na mtangazaji maarufu Ryan Seacrest kupitia kipindi chake maarufu cha On Air With Ryan Seacrest kwa kulipwa dola za kimarekani 58 kiasi ambacho ni sawa na Tsh. 130,210,000,000.


Source ; Forbes Magazine

 Usisahau kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies na pia ku Subscribe Youtube channel DM Online TV




























Pages