Tunnel Korean Drama Download Now - teknomovies
Tunnel Korean Drama Download Now

Tunnel Korean Drama Download Now

Share This

Wakati Tunaelekea Kufunga jarada la kwanza toka       kwa wakorea.

Nimeamua kufungua lingine, Hili hapa toka kwa wakorea ikiwa na Episodes 16 Tu ambayo ilianza kutoka toka mwezi machi tarehe 25,na Kuisha mwezi mei Tarehe 21.
Mahadhi ya Hii movie ni Fantasy, Mystery na pia Thriller.


story Yake Kwa Ufupi.. Ikiwa mwaka 1986,Matukio ya mauaji mfululizo yanaikumba S. Korea huku muuaji akiwa hafahamiki licha ya kusakwa usiku na mchana.

Detective Park, ambaye ndiye mwenye dhamana ya kumsaka Mualifu siku moja anamuotea jamaa wakati akitaka kutekekeza mauji na anajaribu kuanza kumfukuzia ambapo ilikua ni katika Bomba Chini kubwa.
Alianza kumfukuzia lakini ghafla mtu alimpotea,nae Wakati akiendelea kushangaa anajikuta yupo dunia nyingine ya kisasa zaidi, yani dunia ya sasa 2017.

Kasheshe inaibuka huko nako, ambako Mualifu Huyo Huyo Katika Dunia mpya anaendeleza mauaji na Dectitive njia pekee Ya kurudi Alikotoka ni mpaka amkamare muuaji.

Lakini bado swali Linakuja, Kivipi Atokee Dunia nyingine yani miaka zaidi ya 30 awe amesafiri kimwendokasi.

Anza Nayo Hapo Chini Kwa Kujishushia Episodes zako, Ujipatie Majibu.


Pages