Tazama Hapa Jiwe Hili Toka Kwa Wachina - teknomovies
Tazama Hapa Jiwe Hili Toka Kwa Wachina

Tazama Hapa Jiwe Hili Toka Kwa Wachina

Share This
Kama ujuayo hii ni sehemu maalumu kabisa kwaajili ya filamu mbalimbali zile ambazo ni kali haswaa, huwa tunazidondosha ili watu wetu muweze kufurahi.

Mara nyingi tumekua tukicheza sana na watu wa Hollywood lakini kwa siku hii tutakua tofauti kidogo, kwani tumeamua kukuletea wataalamu wenyewe wa mapambano ya ngumi.

Hii filamu niliikuta Katika mtandao wa Youtube ikiwa imewekwa yoote,tena kwa ubora mkubwa sana na kizuri zaidi ikiwa na Subtitle,na filamu hii mwanzo tu lazima utaipenda sababu ya mwanzo wake.

kwa hapa sitaki kuongea sana,ila jua tu hii filamu imetoka mwaka jana katika mwezi august,na kwa china moja ya filamu zilizofanya mauzo mazuri...basi huwezi kuacha kuitaja nyundo hii inayokwenda kwa jina la TIME RAIDERS.....Enjoy time yako kwa kubonyeza hapo chini Kitufe cha Play.


            

Pages