The Belko Experiment Review. - teknomovies
The Belko Experiment Review.

The Belko Experiment Review.

Share This

Chip Walizowekewa Siku Wanaanza Kazi, Waliambiwa Zitakuwa Msaada Kama Ikitokea Wakatekwa Na Waasi Huko Bogota Columbia.

Hawakuja Chip Hizo Ndiyo Itakuwa Chanzo Cha Mauaji Ya Kuogofya.
Wafanyakazi 80 Katika Kampuni Ya Belko Huko Bogota Columbia, Wanaingia Katika Mtego Wa Kucheza Mchezo Unaweka Rehani Maisha Yao.
Mchezo Huo Unamtaka Mshindi Mmoja Tu Atakayetoka Akiwa Hai Katika Jengo La Belko.

Baada Ya Kupewa Tangazo La Mchezo Huo, Kwanza Wakafikiri Ni Utani Na Wakaacha Kufata Masharti Ambayo Ni Kuua Wafanyakazi 30 Ndani Ya Masaa Mawili
Wakiwa Hawajui Lolote Ghafla Wenzao Wanne Vichwa Vyao Vinalipuliwa Ikiwa Kama Onyo La Kuwataka Kucheza Mchezo Huo La Sivyo Waendeshaji Wataamua Kuua Ovyo Bila Kuchagua. Wanakuja Kugundua Kilicholipua Vichwa Vya Wenzao Ni Zile Chip Walizowekea Kumbe Zilikuwa Ni Bomu.

Vita Ya Kila Mmoja Kuokoa Maisha Yake Ikaanza Lakini Wanashindwa Kufikia Idadi Waliyopewa Hivyo Waendeshaji Wanamua Kuua Wafanyakazi Hao Ovyo Na Wanaawaacha Wachache Na Kuwapa Mtihani Wa Atakayeua Wengi Au Atakaye Baki Peke Yake Ndiye Atatoka Jumba Hilo Ambalo Wao Walizani Ni Ofisi

Kasheshe Inaanzia Hapo, Kuna Wale Waoga Wa Kuua, Na Kuna Wale Ambao Wamebaki Ni Marafiki Lakini Anatakiwa Abaki Mmoja Tu Ndani Ya Jumba Hilo

March 17, 2017 Mzigo Ukawekwa Duniani Kwa Bajeti Ya $5M Na Box Office Ikapanda Mpaka $10.6M

Inakwenda Kwa Jina La The Belko Experiment... Iko Kama Mtindo Wa Maze Runner Flani Hivi.

Kuipata Bofya HAPA sasa. 

Pages