Huyu Ndiye Best Friend Wako (Rafiki Yako Wa Dhati) - teknomovies
Huyu Ndiye Best Friend Wako (Rafiki Yako Wa Dhati)

Huyu Ndiye Best Friend Wako (Rafiki Yako Wa Dhati)

Share This
Hivi ulishagundua kwamba rafiki  kipenzi (best friend) wa mtu huwa ni yule ambae yuko TOFAUTI KABISA na yeye? Mind you, nimesema 'Best friend', sio 'friend'! Shosti wako wa ukweli yuko tofauti kabisa na wewe aidha kimwonekano au kivinginevyo. 

Sio? Kama wewe ni mwanamke mzuri sana kimwonekano, shosti wako wa ukweli kabisa atakua ni wa kawaida ingawa wewe unajitahidi kuwaaminisha watu kwamba she is as beautiful as yourself kwa kusema mara nyingi 'my beautiful friend' na vitu vingine kama hivyo.


 Kama wewe ni mwongeaji sana, best friend wako atakua ni mtu mkimya, n.k. Mahusiano au Ndoa ikiwa na watu wote wawili waongeaji sana inakua very boring, right? Na wote mkiwa waongeaji sana, naamini unajua nini kinatokea mara nyingi. Hii inaitwa 'the Law of Opposites', na sababu inayofanya tunakua na marafiki ambao wako tofauti na Sisi ni kwamba we need those opposites to make ourselves whole!!

Imeandikwa Na Darasa Huria,unaweza Kufuata katika mtandao wao wa Instagrama Kwa Kupitia jina la @DarasaHuria

Pages