UKWELI KUHUSIANA NA MOVIE YA CANNIBAL HOLOCAUST. - teknomovies
UKWELI KUHUSIANA NA MOVIE YA CANNIBAL HOLOCAUST.

UKWELI KUHUSIANA NA MOVIE YA CANNIBAL HOLOCAUST.

Share This
Tukizungumzia uhalisia wa movie basi Director Ruggero Deodato wa movie ya Cannibal Holocaust alitisha.

Siku 10 baada ya kutoka movie hiyo mjini Milan iliweza kusimamishwa na mahakama ya nchini Italia na Director Ruggero alishitakiwa kwa scene za kutisha na kikatili.

Baadae alishitakiwa kwa mauaji ya actors kadhaa na kuhukumiwa kifungo cha maisha.


Actors wa movie hyo walisaini mkataba wa kutokomea kwa mda wa mwaka mmoja baada ya kumaliza shooting ya movie hyo, ili kuaminisha watu walichokiona kwenye movie kua wamefariki kweli.

Baadae Director Roggero aliwasiliana na mtu ili awasiliane na actors wa3 waliopotea.
Wale actors walipotokea mahakamani wakiwa wazima na wenye afya hivyo kesi hiyo ya mauaji ilisitishwa na pia ni baada ya kuelezea hizo scene za mauaji alizitengenezaje.

Kingine Cha Kustajaabisha Kuhusu Filamu Hii Ni Kuwa Wanyama Wote Waliouliwa Humu Ni Kweli Waliuliwa Na Hiki Ni Moja Ya Vitu Ambavyo Director Deodato Anajutia.

Alipoulizwa Kitu Gani Anachojutia Alisema Anajutia Vifo Vya Wanyama Wale, Anajutia Kwanini Alifanya Kweli Na Wakati Mwingine Anaona Ni Bora Asingefanya Movie Hiyo.

Ndani Ya Siku 10 Tu Filamu Hii Iligonga Mauzo Ya $1.9 Million Huku Ikiwa Na Bajeti Ya $100,000 Tu, Na Filamu Hii Ilitoka Rasmi 7/2/1980 Ikiwa Na Dakika 96.

2 comments:

  1. Enter your comment...hiyo movie inapatikana? au ndo imefungiwa..

    ReplyDelete
  2. Inapatikana IPO online na hta mliman city

    ReplyDelete

Pages