HII NDO SABABU YA JACKIE CHAN KWENDA NA PANDA KATIKA USIKU WA OSCAR AWARDS - teknomovies
HII NDO SABABU YA JACKIE CHAN KWENDA NA PANDA KATIKA USIKU WA OSCAR AWARDS

HII NDO SABABU YA JACKIE CHAN KWENDA NA PANDA KATIKA USIKU WA OSCAR AWARDS

Share This

Star Wa Movie Toka China Jackie Chan, Jana Katika Red Carpet Katika Ugawaji Wa Tuzo Za Grammy Alipita Akiwa Kashikilia Toy Mbili Za Wanyama Aina Ya Panda.


Alipoulizwa Kuhusu Jambo Hilo Jackie Chan Alijibu Kua Aliamua Kubeba Toy Za Wanyama Hao Aina Ya Panda Sababu Yeye Ni Balozi Wa Wanyama Hao.

Pia Aliongezea Kua Panda Hao Wawili, Waliwawakilisha Panda Wawili Wa Ukweli Ambao Anawamiliki Yeye Mwenyewe Ambao Aliwaadopt Baada Ya Tetemeko La Ardhi Lililopiga Jimbo La Sichuan Mwaka 2008 Ambalo Liliua Takribani Watu 87,000 Huku Jimbo Hilo Kwa China Ndilo Linaloongoza Kwa Kua Na Panda Wengi Sana Wakubwa.

Panda Hao Wawili Wa Jackie Chan Mmoja Wa Kike Na Mmoja Wa Kiume Aliwapa Majina Ya Cheng Cheng na Long Long.

Katika Tuzo Za Oscar Jackie Chan Yeye Alipewa Mwaka Jana Tuzo Ya Heshima Kufuatia Kazi Zake Ambapo Mpaka Sasa Kashaigiza Filamu Zaidi Ya 200.

No comments:

Post a Comment

Pages