Kama kawaida jahazi limeongozwa na Presenter Mwela ambae anasimamia project hii kwa umakini zaidi. Kama wewe ni miongoni mwa wanachuo basi jiweke tayari maana time yoyote inaweza kufika eneo ulilopo.
Katika College of Humanity Weezy Lamar ameibuka mshindi, kwa lugha rahisi yeye ndio mfalme wa michano katika college hiyo