UNAFAHAMU KUHUSU UVUMBUZI WA LIFTI ZA MAJENGO MAREFU? - teknomovies
UNAFAHAMU KUHUSU UVUMBUZI WA LIFTI ZA MAJENGO MAREFU?

UNAFAHAMU KUHUSU UVUMBUZI WA LIFTI ZA MAJENGO MAREFU?

Share This
Imekuwa kawaida kwa dunia ya sasa haswa katika majengo marefu na yenye ghorofa nyingi kutumia lifti ili kutoa msaada wa kufika katika vyumba vya juu kwa urahisi, unajua mwanzo wa ubunifu wa lifti zenyewe na mtu aliyeumiza kichwa?.

Uvumbuzi wa lifti ulifanyika kiasi cha miaka 237 iliyopita. Mvumbuzi wa lifti hiyo ya kwanza alikuwa ni raia wa Marekani anaejulikana kwa jina la John Bikbart. Lifti hiyo ilifanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza katika mji wa Chicago nchini Marekani


Mbali na hilo zipo nadharia kuwa Lift ya kwanza ilianza kutumiwa huko Ufaransa na mfalme Louis (King Louis) hiyo ilikuwa mwaka 1743 ambapo mfalme huyo alikuwa na kiti chake alichokuwa akitumia kutoka katika Ghorofa moja kwenda jingine lakini hii ilikuwa ikifanyika kwa muongozo maalum (manually).

Miaka kadhaa baadae yaani 1915 kampuni ya usanifu majengo ya Otis Brothers Co ikavumbua lift ambayo inajiendesha yenyewe (Autimatic Lift)

Kwa hiyo unapopanda lift jua kwamba kuna watu wameaumiza vichwa vyao kubuni aina hiyo ya kipandio inayokufanya kutumia sekunde kadhaa kupanda ghorofa zaidi 20.

Unataka mastori kama haya yasikupite? Jiunge na Familia yetu kupitia kurasa za Instagram na Twitter @Teknomovies lakini pia Download Teknomovies App ili uwe wa kwanza kupata Update.

No comments:

Post a Comment

Pages