WILL SMITH AMPA TYRESE $5 MILLION ZIMSAIDIE KWENYE KESI YAKE - teknomovies
WILL SMITH AMPA TYRESE $5 MILLION ZIMSAIDIE KWENYE KESI YAKE

WILL SMITH AMPA TYRESE $5 MILLION ZIMSAIDIE KWENYE KESI YAKE

Share This
Will Smith na mkewe Jada Pinkett wameamua kumpa rafiki yao Tyrese kiasi cha Dola Milioni $5 ili iweze kumsaidia katika kesi dhidi ya mzazi mwenzake.
Kupitia mtandao wa Instagram Will ameandika.

"When we show UP for each-other there's nothing that can't be done I️ repeat nothing...... My wife kept the news away from me cause I've been on with lawyers all day but our family and our sister Jada-Pinkett Smith and my brother Will Smith just sent us 5 million dollars to help keep us afloat," Gibson wrote on Instagram with a collage of photos of the two men together. 

Tyrese na Will Smith ni marafiki wa muda mrefu hivyo ameamua kuonyesha upendo kwa rafiki yake katika kipindi hiki kigumu.

 

No comments:

Post a Comment

Pages