Rapper Lil Peep afia ndani ya gari kwa kuongeza kipimo cha ulevi. - teknomovies
Rapper Lil Peep afia ndani ya gari kwa kuongeza kipimo cha ulevi.

Rapper Lil Peep afia ndani ya gari kwa kuongeza kipimo cha ulevi.

Share This
Rapper kutoka New York Lil Peep mwenye umri wa miaka 21 amekutwa amefariki kwenye gari ya ziara ya muziki (Bus Tour) katika eneo la Tucson.
Mwili wa Lil Peep umekutwa ndani ya gari siku ya Jumanne nje ya club maarufu ya The Rock ambapo alitakiwa kufanya show.

Kwa mujibu wa meneja wake amesema alienda kumuangalia ndani ya gari ilipofika saa 8:50 pm na kumkuta amekwishafariki na taarifa zinaarifu kwamba alizidisha kiwango cha matumizi ya dawa za kulevya aina ya paraphernalia kwani zilikuta pembeni yake.

Lil Peep anatokea kwenye familia yenye maadili ambapo Baba yake ni Proffesor katika moja ya chuo huko Tucson na mama yake akiwa mwalimu, jina la Peep alipewa na mama yake alipokuwa mdogo.
Polisi wanaendelea na uchunguzi zaidi ili kufahamu chanzo halisi cha kifo chake ingawa tayari inaonesha utumiaji wa kiwango kikubwa cha dawa za kulevya ndio umechukua uhai wake.

Sasa unaweza Kudownload Teknomovies App ukiwa na simu ya Android cha kufanya nenda google playstore uweze Kudownload na uwe wa kwanza kupata mastori makali.

No comments:

Post a Comment

Pages