Model wa Kimarekani auza bikra yake $2.5 million kwa tajiri wa Kiarabu - teknomovies
Model wa Kimarekani auza bikra yake $2.5 million kwa tajiri wa Kiarabu

Model wa Kimarekani auza bikra yake $2.5 million kwa tajiri wa Kiarabu

Share This
Mlimbwende wa Kimarekani mwenye umri wa miaka 19 anaejulikana kwa jina la Gissele ameamua kuuza bikra yake kwa mfanyabiashara wa kiarabu kutoka Abu Dhabi baada ya kushindwana dau na mmoja wa wasanii wa Hollywood ambae hakumtaja jina.
Kwa mujibu wa mtandao wa Metro UK Gissele ameamua kutoa ofa hiyo ya kiasi kikubwa kwa mfanyabiashara ambapo amepanga kuwa pesa atakayopata atatumia kusafiri na kulipa ada.

SOMA PIA:NDOA ZA JINSIA MOJA RUKSA AUSTRALIA

Amesema hakutegemea kama angeuza bikra yake kwa kiasi kikubwa hivyo.
Mbali na hilo Gissele amesema kuwa ana furaha kuwa miongoni mwa watu wanozungumziwa kwenye mtandao kuhusu kuuza bikra yake.

Kwa kushirikiana na wakala wa Cinderella Escort ameweza kumpata mfanyabiashara huyo ambae tayari ameshamkatia tiketi ya kwenda Ujerumani na atasindikizwa na walinzi ambao watahakikisha tendo hilo litafanyika kwa usalama zaidi kwani ndio mara yake ya kwanza.

Sasa unaweza Kudownload Teknomovies App cha kufanya nenda Google Playstore na Udownload ili uwe wa kwanza kupata mstori makali.

No comments:

Post a Comment

Pages