MEEK MILL AKUMBANA NA ADHABU KWA KOSA LA BARABARANI - teknomovies
MEEK MILL AKUMBANA NA ADHABU KWA KOSA LA BARABARANI

MEEK MILL AKUMBANA NA ADHABU KWA KOSA LA BARABARANI

Share This
Rapper Meek Mill amekubali adhabu aliyopewa na mwana sheria wa serikali baada ya kukamatwa akiendesha piki piki kwa fujo na kuhatarisha maisha yake na ya watu wengine barabarani mjini New York.

Meek Mill amekubali kufanya kazi za kijamii kwa Saa 30 na kutokamatwa kwa kosa lolote kwa muda wa miezi sita, mpaka sasa ameshafanya kazi za kijamii kwa saa 20.

Meek alikamatwa kwa kosa hili wakati ana fanya video ya muziki wake karibu na jengo la Empire State mwezi wa nane mwaka huu.

Usisahau kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali pia Subscribe Youtube Channel ya DM Online Tv.

Pages