MATANO USIYOJUA KUHUSU FACEBOOK - teknomovies
MATANO USIYOJUA KUHUSU FACEBOOK

MATANO USIYOJUA KUHUSU FACEBOOK

Share This
Facebook ni mtandao wa kijamii ambao unatumiwa sana na vijana wadogo pamoja na wanafunzi waliopo vyuoni kuliko watu wazima. Ni njia inayoonekana kuwa rahisi kukutana na marafiki wapya au hata kukutanisha watu waliopotezana muda mrefu.

Wakati watu wakifikiri kuwa wanafahamu kila kitu kuhusu FaceBook bado kuna mambo hawayajui. Sasa ni wakati wa kufahamu mambo 5 na moja Bonus kuhusu FaceBook.


1.  Mtandao wa Facebook awali ulikuwa ukiitwa "Facemash"

2. Mbwa wa mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg,aitwaye 'Beast' naye ana account yake katika Face Book na account hiyo ina zaidi ya mashabiki 133,000.

Mark akiwa na mbwa wake 








3. Kuna Injinia mmoja katika kila Injinia milioni moja ambao wanatumia Facebook.Na kwa sasa kuna developers 500 ambao wamejitolea kuiendeleza Facebook.

4.  Wakati wa mapumziko wafanyakazi wa Facebook huwa wanapendelea kucheza mchezo uitwao ''Chess"na uwa wanapendelea kucheza mchezo huo jikoni.

5.  Katika ofisi za Facebook kuna birika ya kuchanganyia kahawa inayoitwa "Poke"ambayo inafanana na kitufe (button)iliyopo kwenye Facebook inayoitwa "Poke".

Alama ya Poke


 6. Ukifika Ofisi za Facebook swali la kwanza kuulizwa litakuwa ni "Are you here for job interview or a meeting?" Baada ya hapo ndio mengine yatafuata  na kama utakuwa huna la maana basi mara moja unaamriwa uondoke.


 Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali na Pia Subscribe Youtube channel ya DM Online Tv.


Pages