Mambo Kumi Usiyoyajua Toka Kwa Barkhad Abdi - teknomovies
Mambo Kumi Usiyoyajua  Toka Kwa Barkhad Abdi

Mambo Kumi Usiyoyajua Toka Kwa Barkhad Abdi

Share This

01. Ana Uraia Wa Somalia Na Marekani

02. Kazaliwa Mogadishu April 10, 1985, Akiwa Na Miaka 7 Na Familia Yake Wakahamia Yemen, Na Akiwa Na Miaka 14 Na Familia Yake Wakahamia US

03. Captain Phillips Ndio Filamu Yake Ya Kwanza

04. Mbali Na Acting Pia Ni Director Na Video Music Director

05. Pia Aliwahi Kuwa Limo Driver

06. Aliwaambia Waandaaji Anajua Kuogelea Lakini Ilikuwa Uwongo Hajui

07. I'm The Captain Now - Huu Mstari Aliutunga Mwenyewe Wala Haukuwepo Katika Script Kabisa

08. Barkhad Abdi a.k.a Msomali Mtata Alilipwa $65,000 Kama Tsh 143,000,000 Lakini After Akarudi Kuendelea Kuuza Mobile Phones Katika Duka La Bro Wake Lililopo Katika Mall In Minnesota

09. Soon Tunaweza Kumuona Katika TV  Show Coz Ameonekana Akisoma Script Ya TV Show

10. Barkhad Anasema Ameshuhudia Vita Akiwa Na Miaka 6, Mwaka 1991 Somalia Iliibuka Vita. Anasema Walikuwa Wanakutana Na Silaha kila Sehemu, Miili Imetapakaa Hovyo Ila Walifanikiwa Kukimbilia Yemen  

No comments:

Post a Comment

Pages