Huu Mwaka Wa Despacito,Waweka Rekodi Nyingine Tena. - teknomovies
Huu Mwaka Wa Despacito,Waweka Rekodi Nyingine Tena.

Huu Mwaka Wa Despacito,Waweka Rekodi Nyingine Tena.

Share This
Wakati bado ikiendelea kukamata nafasi ya kwanza kwa kuangaliwa zaidi katika mtandao wa Youtube, Taarifa mpya kutoka Mtandao wa Ku stream music wa Spotify umetoa ripoti yake ambayo imezidi kuipaisha zaidi Despacito.

Katika mtandao wa Spotify, Despacito Remix ambayo ilimuhusisha Justin Bieber, Imeweza kusikilizwa zaidi ya mara milioni 786 na kuweza kuifanya kuweka rekodi ya wimbo uliosikilizwa zaidi katika mitandao yote ya Kustream music.

Rekodi nyingine pia,Umekua wimbo uliosikilizwa zaidi katika majira ya Joto kwa kuanzia mwezi June mpaka mwezi August kwa mwaka huu.

Ukiacha rekodi hiyo, Pia wimbo halisi umeweza kuwepo katika chati ambapo umeweza kukamata nafasi ya 22.

Katika list ya nyimbo zilizokimbiza zaidi kwa majira ya Joto, ukitoa Despacito Remix namba mbili imekamatwa na wimbo wa Wild Thoughts wa kwake Dj Khaled na tatu ni Unforgettable wa kwake French Montana ft Swae Lee.

Tazama Full List Hapa Chini. 

1.Daddy Yankee, Luis Fonsi – Despacito – Remix (feat. Justin Bieber)

2.DJ Khaled – Wild Thoughts (feat. Rihanna & Bryson Tiller)

3.French Montana, Unforgettable (feat. Swae Lee)

4.DJ Khaled – I’m the One (feat. Justin Bieber, Quavo, Chance The Rapper, Lil Wayne)

5.J Balvin, Willy William – Mi Gente

6.Ed Sheeran – Shape of You

7.Calvin Harris – Feels (feat. Pharrell Williams, Katy Perry, Big Sean)

8.Charlie Puth – Attention

9.Liam Payne – Strip That Down (feat.Quavo)

10.Imagine Dragons – Thunder

11.Jonas Blue – Mama (feat. William Singe)

12.David Guetta – 2U (feat. Justin Bieber)

13.Lil Uzi Vert – XO TOUR Llif3

14.Shawn Mendes – There’s Nothing Holdin’ Me Back

15.Axwell /\ Ingrosso – More Than You Know

16.Kendrick Lamar – HUMBLE.

17.Jason Derulo – Swalla (feat. Nicki Minaj & Ty Dolla $ign)

18.The Chainsmokers, Coldplay – Something Just Like This

19.Maluma – Felices los 4

20.Imagine Dragons – Believer

21.Danny Ocean РMe Reh̼so

22.Luis Fonsi – Despacito (feat. Daddy Yankee)

23.Post Malone – Congratulations (feat. Quavo)

24.Maggie Lindemann, CADE, Cheat Codes – Pretty Girl (Cheat Code X CADE Remix)

25.Rita Ora – Your Song

26.Niall Horan – Slow Hands

27.Demi Lovato – Sorry Not Sorry

28.Martin Garrix, Troye Sivan – There For You

29.Clean Bandit – Symphony (feat. Zara Larsson)

30.Bruno Mars – That’s What I Like

No comments:

Post a Comment

Pages