ALICHOKIANDIKA PAUL OKOYE BAADA YA KUSAMBAA KWA VIDEO YA UGOMVI WAO. - teknomovies
demo-image
rude-boy-psquare

ALICHOKIANDIKA PAUL OKOYE BAADA YA KUSAMBAA KWA VIDEO YA UGOMVI WAO.

Share This
Baada ya kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii inayowaonyesha ndugu wanaounda kundi la muziki la P Square (Peter, Paul &Jude) wakigombana kwenye ofisi ya mwanasheria wao, Paul ametweet neno kwenye Account yake ya Twitter.

Mapema Peter aliandika barua kwa mwansheria wao Festus Kenyamo (SAN) akiomba kujiengua kwenye kundi la P Square.
Baada ya video hiyo Paul aliandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter WOW…!!!! Hatimaye ameiachia video yote


Comment Using!!

Pages