50 Cent kwa sasa hana noma tena - teknomovies
50 Cent kwa sasa hana noma tena

50 Cent kwa sasa hana noma tena

Share This
                                                                       BAADA ya kuwaambia mashabiki zake kuipotezea Chaneli ya Starz ambayo inaonesha tamthiliya yake ya Power kutokana na madai kwamba inamchukulia poa licha ya mchongo wake huo kuzidi kufanya vizuri kwa sasa.                                                                  



 Hali imeonekana kuwa shwari kwa sasa baada ya kumaliza tofauti zao.

Kupitia akaunti yake ya Instagram 50 Cent alithibitisha hilo na kuongeza kwa kutoa taarifa juu ya dili Lipya alilopata la kuandaa shoo tatu pamoja na Power ambayo itaendelea katika Chaneli hiyo.

Katika Instagram yake aliandika , “I just got off with Chris Albrecht, head of STARZ. New Deal More POWER coming your way, next season there will be less of a Wait. Thanks for supporting me, 臘‍♂️I can’t believe how much money they just gave me. That shit just fucked with my nerves my hand is shaking. LOL TURN THAT SHIT BACK ON NOW.”
Katika picha nyingine aliongeza kwa kusema LOL yo this shit is unbelievable, I have 3 new shows coming on STARZ. BMF, Tomorrow Today, and I GOT AWAY. TICK, TICK BOOM. #50centralbet
Shoo ya Power kwa sasa inazidi kufanya vizuri ambapo msimu wa nne umeshamalizika huku msimu wa tano ukitazamiwa kuachiwa mwakani.

No comments:

Post a Comment

Pages