Train To Busan Tupo Nayo Sasa - teknomovies
Train To Busan Tupo Nayo Sasa

Train To Busan Tupo Nayo Sasa

Share This

Ilitoka mwaka 2016 na iliweza kuweka rekodi kadhaa kama kuongoza kwa mauzo zaidi kwa mwaka huo,Ikiweza kuingiza Dola milioni $11kwa upande wa korea kusini pekee huku kwa ujumla kwa dunia nzima ikiweza kuuza jumla ya Dola milioni $99.

Katika tuzo mbalimbali iliweza kujichukulia tuzo 10 katika vipengele mbalimbali na kuzidi kuifanya kua Filamu Bora zaidi.

Stori nzima inahusu Baba ambae akiwa safarini kumpeleka mtoto wake kwaajili ya kwenda kuonana na Mama yake njiani wakiwa ndani ya Train Mazombie ya Ajabu yanazuka na kuhatarisha usalama wa abiria ndani. Kimbembe kinabaki kwake Kuelekea Busan Je atafanikiwa na mtoto wake,Ukilinganisha na Kadhia ambayo wamekutana nayo?

Bonyeza Hapo Chini Kushusha mzigo Wote Sasa,



Pages