PICHA : WACHEZA FILAMU ZA KIBABE WA ZAMANI WALIVYO SASA - teknomovies
PICHA : WACHEZA FILAMU ZA KIBABE WA ZAMANI WALIVYO SASA

PICHA : WACHEZA FILAMU ZA KIBABE WA ZAMANI WALIVYO SASA

Share This
Waswahili wanasema wakati ni ukuta na kamwe huwezi kushindana nao...Hivyo ndivyo tunavyoweza kukamilisha usemi huu kwa ndugu zetu hawa ambao miaka hiyo ya nyuma walitikisa sana soko la movie hasa movie za kibabe "Action Movie" kwa namna walivyokuwa wakiuvaa uhusika wa mapigo.

Hapa nimekuwekea baadhi ya picha zao namna walivyo hivi sasa...








Acha Comment yako kwa kutaja jina la mmojawapo pamoja na movie ambayo unaikumbuka kutoka kwake....Pia usisahau kutufollow instagram na Twitter @TeknoMovies

No comments:

Post a Comment

Pages